Kuhusu HudumaLink
Tunajivunia kuwa miongoni mwa watoa huduma bora za website design, hosting, na domain registration nchini Tanzania.
Nani Sisi?
HudumaLink ni kampuni inayojishughulisha na teknolojia ya habari na mawasiliano (ICT), ikiwa na lengo la kusaidia biashara na wajasiriamali kuwa online na kufikia wateja wengi zaidi.
Tunaamini kwamba kila biashara inastahili kuwa na uwepo wa digital wenye ubora, na ndio maana tunatoa huduma zetu kwa bei nafuu na ubora wa juu.
- Zaidi ya wateja 500 wameridhika
- Domain 1000+ zimesajiliwa
- Uptime guarantee 98%
- Msaada 24/7
Tunacho Amini
Tunajitahidi kutoa huduma bora kwa wateja wetu kupitia maadili yetu ya msingi.
Ubora
Tunatoa huduma za ubora wa juu kwa kutumia teknolojia za kisasa na timu ya wataalamu.
Uaminifu
Tunawaheshimu wateja wetu na tunafanya kazi kwa uwazi na uaminifu katika kila huduma.
Ubunifu
Tunakumbatia mabadiliko na teknolojia mpya ili kuwapa wateja wetu suluhisho bora zaidi.
Wataalamu Wetu
Timu yetu ina wataalamu wenye uzoefu katika teknolojia ya habari na mawasiliano.
John Lema
Founder & CEO
Sarah Mushi
Lead Developer
Ali Khamis
UI/UX Designer
Fatuma Mwinyi
Customer Support